Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

sorry mkuu, mi npo kundi gan? Maana si haba angalau unanijibu pm zangu.. Cha kusikitisha tupo wote mtaa mmoja hapa dom makao makuu, ila hutak tuonane Demiss
Baada ya kuon hili kabur lakoo nikaogopaa sna ndugu yangu

Yawezekana na mm tukaonana alafu nikawa busy ukaja huku kunianzishia siled

Mnaringa sana wadada
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mi nipo karibia majukwaa yote haya lakini Pm yangu imekahukiwa kiukweli ina ukame kinomaaaaaa.
 
Hahahaha dah ndo na pm sipati sasa maana me wanahisi dume lenzao ke nao mnahisi hili dume wacha nipambane na ID yangu
[emoji23][emoji23][emoji23]unataka pm??
Ngoja tu utazipata ila uwe makini
 
Ushemeji wane nwaso mulogi, ujile kukulisha mintunga. Lakini kula musua wane sana ila nkolo itite usungu sana, ali ukukongile yani mpaka numugomba? Lakini mpandi isulile ondo. Nagombile du numugila ka lukani.

Ka kudume PM za ananso
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]gyule yani guaaa naseka iteee nantendeeee

Ushemej wako niona alempelile kamuzizi ndo maana ila wele izaaa ku siledi zakwee alafu mukweli ufaile kumiliki udemiss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…