Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Pm kweli napata maana kila kukicha lazima niwatumie maombi moderator hata kama ya kipuuzi ila pm uwe active tu. Kubet nimemaliza mtaji ila bado napigana na kubet[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi Kichwa Kichafu huwa unapata pm kweli[emoji23][emoji23][emoji23]maana wewe unaahinda kwenye uzi wa kubet
Kwa hiyo nijiite Millionea ili nizifaidi Pale Makole (PM) za watoto wakaleeeeJina lakooo hilo ndo tatizooo badili haraka utaendelea kuwa na ukameee hivyo hivyooo
Weye kumbe nawe unataka kujua wakati umeniblock pm[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja ajeeeee[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]maneno mengine magumu nashindwa mpaka kuelewaaa ahhahahah itabid nirud tena home sweet home akiiiiYaani gyule paso ndio nasuila kina muzee nwaso mulogi kabisa. Tena ukugonela ndili za dyolo ni nzoka. Yaani umulogilwe mpaka nukutakaa kukia ampusile kabisa ndeke kigela
Carbamazepine wewe ni mtamuNaonekana kwa avatar?[emoji23][emoji23]
Ila jf bhana raha tupu
Na machungu hapa[emoji6]
Wewe kwani hupendi kuwasapoti wenzio kwa Makonda?Hahaha mmeanza baada ya kujisema mimi ni ke nimebadilika mimi ni me
Karibu sana huko ila uwe umejipanga vyemaHivi huo uzi wa kubeti ndio ule wenye title "wazee wa kuweka mzigo haya njooni tubashiri mechi za leo au"? Kama ndio huo huwa naupita kama siuoni.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Lakini numoa sana intondo izi. PM wasumikigumila mumoto mpaka uzigile usage makala du. Nsilye PM na nimisilye nene ila sika za kudumwa. Izaso nukutulagyaa du zi sikanizionye.
Niliedit uzi wa mtu wakanipa Ban toka Mwezi wa 2 nimemiss sana akaunti yangu yenye magari ila ndo hvyo sina uwezo wa kuipata kwa sasa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimekutekenyaaa upele umeamua kujikuna haya kwann ulikula ban ya muda mrefu
Tuanzie hapo kwanzaaa