Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Usichezee ukame wa PM, mineno mingine inakuja tu hata sijui inakotokea. Kaa mbali na member asyepata PM
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sawaaa
 
Nani anajua Wanapouza kioo cha BMW X6 gari yangu jana imepasuka kioo cha mbele wakati nampa farasi dawa.

Pia kama kuna mtu yeyote anaweza kupata kwa muda gari la kukodisha lisizidi Mil 15 kwa mwezi ani PM tuongee biashara.

(kioo cha mbele)

Asante
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]manina zakooooo umejua kunichekeshaaaa
 
Hahahahahahaaaa,usiwaze sana hyo ni subjectivity ila ukiisoma vbaya thread unaona kama kuna some elements of objectivity,ila hongera pia!
Asanteeeeee ubarikiweeee
 
Sidhani kama kuna ukweli hapa, mbona kapo zote zinazojinadi humu ndio zinashinda kwny haya majukwaa ma3 uliyotaja chitchat na mmu?

Labda uniambie hz ni kapo kwa ajili ya maonyesho tu na kusogezeana siku
Kafukue makabur yao utapata majibu yako yoteeee
 
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] haya hebu nikaushie tuone
Fyuuuuuuuuu...... nyoooo....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…