Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ww bata gal umeolewa lini?...sems unafurahsh jfKafukunyueee makabur yangu utapata jibu
nimecheka kihutu kama mazuri Vile!!Kabisaaaa unaweza kuzan mtu yupo UK kumbe mwananyamala kwa koma koma siku ukikutana nayee katoka UK unatokaaa nduki unamuacha hapo kasimama
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]haya umenifanya niwaze ulivyocheka mpaka umetingisha na simu kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mwanamke ni kiboko, yaan nimecheka kwa nguvu kama punguwani
Sawa ila uachie usukume damuAcha Roho mbaya Zero Iq nae ana moyo vile vile
Hongeraa wewe wenzio kazi kutongoza tuHivi Kuna watu wanakuja jf kutafuta mademu duh [emoji23][emoji23][emoji23] hao ni chini ya miaka 25 ndo bado wananguvu za kusumbuana na wanawake WA mitandaoni. Mi huwa nakuja kutoa stress kupitia comment
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sawa ila uachie usukume damu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkubwa ondoa hivo vimidolimidoli kwenye post..utaendelea kuchezea ukame wa PM
Mademu wa huku hawajuagi Hisia za mtu yaani.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]umeandika comment kwa hisiaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Kichwa Kichafu huwa unapata pm kweli[emoji23][emoji23][emoji23]maana wewe unaahinda kwenye uzi wa kubet