Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Kabisaaaa unaweza kuzan mtu yupo UK kumbe mwananyamala kwa koma koma siku ukikutana nayee katoka UK unatokaaa nduki unamuacha hapo kasimama
nimecheka kihutu kama mazuri Vile!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe mwanamke ni kiboko, yaan nimecheka kwa nguvu kama punguwani
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]haya umenifanya niwaze ulivyocheka mpaka umetingisha na simu kabisaaa
 
Hivi Kuna watu wanakuja jf kutafuta mademu duh [emoji23][emoji23][emoji23] hao ni chini ya miaka 25 ndo bado wananguvu za kusumbuana na wanawake WA mitandaoni. Mi huwa nakuja kutoa stress kupitia comment
Hongeraa wewe wenzio kazi kutongoza tu
 
Hili jina lina Element za kukataliwa litaniongezea mkosi tu.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]basi ontarioo
 
Kama mimi sjawahi pata Pm lakini hata me sjawahi m PM boya yyt
 
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] haya hebu nikaushie tuone
Fyuuuuuuuuu...... nyoooo....!!!
Najua wewe ni muhengaaa so naogopa nikikutania itakuwa utan wa ngumiii
 
Nimejaribu kum-PM nanihii hapa inaniambia siwezi, sijui kwanini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…