Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Mrs Jr wachuuze tu wenzio wabague nazi wainukie koroma, kwa taarifa yako mi naifahamu mishefa ya maana kama mi3 hivi huko jukwaa la Celebrity [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mmoja anashughulika na ule utajiri wa ardhini, mwingine buloga wa maana tu, mwingine.............. Mmoja kati ya hao ni best angu sana!

Wengine jeiefu wamekuja kufurahi tu sio kuwa siriazi.

Ila mamdogo sio vizuri huo ushauri wako sasa wengine jukwaa la siasa wakajiokotee lumumba buku 7 au makamanda uchwara? Mungu anakuona ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kauzi kanakimbia..yan kwenda kunywa kikonyagi kimoja tu uzi ushafika mbalii
 
Hivi watu wa mara huwa mnapata pm kweli nabet genta sjui kama huwa anapata pm[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]za waremboo
Ninayo moja tu ya mbitiyaza alinisaidia Dawa ya kutibu mwanangu mdogo

aitiviiiiiiii,maraaaaa!!!
 
Back
Top Bottom