Hahaah unajua wanawake wanapendaga vituu vya ajabu kwa wanaumee[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Chukua kwa mangi bili kwanguNipe sodaaa basi tafasali maan nimekupaa mbinu matata
Sawa shem lakeNdioooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mrs Jr wachuuze tu wenzio wabague nazi wainukie koroma, kwa taarifa yako mi naifahamu mishefa ya maana kama mi3 hivi huko jukwaa la Celebrity [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mmoja anashughulika na ule utajiri wa ardhini, mwingine buloga wa maana tu, mwingine.............. Mmoja kati ya hao ni best angu sana!
Wengine jeiefu wamekuja kufurahi tu sio kuwa siriazi.
Ila mamdogo sio vizuri huo ushauri wako sasa wengine jukwaa la siasa wakajiokotee lumumba buku 7 au makamanda uchwara? Mungu anakuona ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji111]Nimeonaaa mnahangaikaaa sana na dunia ya Jf wengine wakauliza nilianguka vipi kwa mzee baba mshana sasa jibu wamepataaa
[emoji23] [emoji23] zitajeSidhani kama kuna ukweli hapa, mbona kapo zote zinazojinadi humu ndio zinashinda kwny haya majukwaa ma3 uliyotaja chitchat na mmu?
Labda uniambie hz ni kapo kwa ajili ya maonyesho tu na kusogezeana siku
Penye Mahela etiPm ndo wapi ?!
Shemeji, Makaburi ya 8yrs ago unayafukua leo. Really ?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ninayo moja tu ya mbitiyaza alinisaidia Dawa ya kutibu mwanangu mdogoHivi watu wa mara huwa mnapata pm kweli nabet genta sjui kama huwa anapata pm[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]za waremboo
Amefunga pm yakeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shemeji kaniumbua mchana kweupe! Mwambie vibaya hivo bhana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ndo ujiulizeNdiooo sjui kwann
[emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji174] [emoji106]Penye Mahela eti