Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Mimi sijawai anzisha uzi ila huwa nikidondoshaga comment pale kwenye jukwaa la intelligence au technology lazima pm nimkute mtu sema sipendagi tu kutobgoza hovyo hivyo maana najua siku wakiniona watashangaa kwa umri nilionao alafu wakija pm wanavyoninyenyekea.
under 20 wenzangu nyoosheni vidole au uje pm kama ww ni she
 
Mboni Mimi huwa nakomenti pumba halafu pamoja na hii biashara yangu ya majeneza lakini mademu kibao wanakujaga PM.!
Labda demu aliyenitosaga humu JF ni mmoja tu ambaye siku hizi amebadiri jina zamani alikuwaga anaitwa "iiduR"
 
Aisee sihusiki na list ya RC usinipe hongo tafazali.

Siwezi kuondoa jina lako kwenye list😀
Ayaaa, imekula kwangu maana nimeletewa barua tatu za kunitaka nifike ofisini kwake tar 11. Lakinii..... Em jibu pm kwanza
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hakuna notification nayopata kule ,labda network inasumbua kwenye pm yangu[emoji3]
Eeee notification zinazingua kwakweli... Mwenyewe natumia tapatalk
 
Naona umeamua kujipigia promo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…