Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Hahahahaha......wewe utakuwa umetumwa, what is so special? au ndio unaandaa mazingira ya kuja kushtakiana mambo ya kutelekeza familia/watoto?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimewaambia ukweli wale wanaolalamikaaa tu
 
Naona umeamua kujipigia promo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]safi sana
ningekuonyesha PM ungeshuhudia toka nianze kutumia jf niliowafata pm nazani ni watu wawili kama sio watatu wengine wote wanakukaga tu
 
Hivi kwani lazima PM!wanaoitaji pm wagonjwa wa akili!
 
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wa Jf kwamba hawapati PM kutoka kwa warembo wa Jf.

Mfano Zero IQ na Da 'Vinci na wengine wengi wakilalamika kufungiwa vioo.

Sasa niwaambie siri wanaume ambayo hamjui.

Yani ukimtumia tu mwanamke PM hakujibu mpaka aende kuangalia unashiriki ktk majukwaa gani?

Thread zako ni za aina gani?

Comment zako anafukua fukua makaburi kwanza?

Akishapata jibu ndio anarud PM kukujibu.

Hawa ndo wanaume wanaojibiwa haraka PM zao
Wale waliopo Great thinkers
-Jukwaa la siasa
-Jamii inteligance
-Habari na Hoja mchanganyiko
-Jukwaa la magari(No 1)
-Jukwaa la Madaktari
-Biashara na ujasiriamali
-Kilimo na mifugo
-Biashara na matangazo
Kifupi kwenye yale majukwaa magumu magumu.

Hawa wafuatao huwa wanafungiwa sana vioo PM kutokana na kushiriki kwenye haya majukwaaa.

-Chitchat
-MMU
-Celebrity[emoji16][emoji16][emoji16]

Hata mimi Demiss nilikuwa na hiyo tabiaa kabla sijaolewaa ukinitumia PM sikujibu mpaka nikafukue makaburi yako ya threads na comment zakoo nioneee .

Kile unachoandika ndiyo kipo kwenye akili yakooo .
Siwez kumjibu mwanaume anayeandika comment anaweka emoj[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] lazima nikukaushiee tu.

Kundi la mwisho hawa wanaume walinipa wakati mgumu sana mtu yupo Jf toka mwaka 2014 lakini hajawahi kuanzisha uzi kucomment wala kulike ila anakuja PM na yupo online masaa yoteeee.
Shemela ni PM na mimi leo nitoe nuksi
 
Hakuna mtu asiyejua kuwa Deadbody jukwaa ambalo naonekana mara kwa mara ni Jukwaa la elimu na jukwaa la intelligence ila sijawahi pata PM yoyote kutoka kwa wowowo la aina yoyote hapa JF .Ila nishazoea wale wa kununua (Nikiwa Dar nanunuaga kule UKONGA-UEFA na nikiwa DOM nanunuaga kule CDA na UHINDINI mitaa ya KEKO kwa buku 5 unapiga bao nzito nzito tu)

Nyie niwaambie tu ukweli kuwa sina shida na PM za MALAYA wa JF na hata mkinitumia SITAJIBU maana wote siwaamini nahisi mmetumwa na SIRI KALI

NB: DODOMA kuna hawa wadada pale keko ni sheeeda
  • Jackline
  • Miriam
  • Rose
  • Stella
  • Irene
DAR :
  • Ashura
  • Caroline
  • Amina
  • Ester
  • Felister
  • Nasra

Dah nitawaheshimu sana hawa maana mambo nayopataga kwa elfu 5 huwa nizaidi ya yule demu nayetaka kumuoa ambaye akija kwangu kunitembelea nitamtumia nauli ya kuja elfu 5 ,hela ya kusuka elfu 15,hela ya kula pamoja elfu 10 na nauLi ya kurudi kwao elfu 5 na JUMLA inakuwa elfu 35.

Nilifundishwa kwenye Linear Programming ( Advance Mathematics) kupunguza COST hivyo ile "A" ya Advance Mathematics sikubahatisha.

Ni hayo tu !
Umetumia nguvu nyingi kujibuuu alafu hata hujaeleweka ndugu yangu poleee sanaaa
 
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wa Jf kwamba hawapati PM kutoka kwa warembo wa Jf.

Mfano Zero IQ na Da 'Vinci na wengine wengi wakilalamika kufungiwa vioo.

Sasa niwaambie siri wanaume ambayo hamjui.

Yani ukimtumia tu mwanamke PM hakujibu mpaka aende kuangalia unashiriki ktk majukwaa gani?

Thread zako ni za aina gani?

Comment zako anafukua fukua makaburi kwanza?

Akishapata jibu ndio anarud PM kukujibu.

Hawa ndo wanaume wanaojibiwa haraka PM zao
Wale waliopo Great thinkers
-Jukwaa la siasa
-Jamii inteligance
-Habari na Hoja mchanganyiko
-Jukwaa la magari(No 1)
-Jukwaa la Madaktari
-Biashara na ujasiriamali
-Kilimo na mifugo
-Biashara na matangazo
Kifupi kwenye yale majukwaa magumu magumu.

Hawa wafuatao huwa wanafungiwa sana vioo PM kutokana na kushiriki kwenye haya majukwaaa.

-Chitchat
-MMU
-Celebrity[emoji16][emoji16][emoji16]

Hata mimi Demiss nilikuwa na hiyo tabiaa kabla sijaolewaa ukinitumia PM sikujibu mpaka nikafukue makaburi yako ya threads na comment zakoo nioneee .

Kile unachoandika ndiyo kipo kwenye akili yakooo .
Siwez kumjibu mwanaume anayeandika comment anaweka emoj[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] lazima nikukaushiee tu.

Kundi la mwisho hawa wanaume walinipa wakati mgumu sana mtu yupo Jf toka mwaka 2014 lakini hajawahi kuanzisha uzi kucomment wala kulike ila anakuja PM na yupo online masaa yoteeee.
Wengine tunaponzwa na avatar zetu..
 
Umetumia nguvu nyingi kujibuuu alafu hata hujaeleweka ndugu yangu poleee sanaaa
Amesema hivi (Nanukuu) HANA SHIDA NA PM ZA MALAYA WA JF kwasababu yeye ananunua wa buku 5. Sometimes waelewe tu wasiokubaliana na wewe sio wote watakuwa na mawazo kama yako au kukuunga mkono.
 
Amesema hivi (Nanukuu) HANA SHIDA NA PM ZA MALAYA WA JF kwasababu yeye ananunua wa buku 5. Sometimes waelewe tu wasiokubaliana na wewe sio wote watakuwa na mawazo kama yako au kukuunga mkono.
Aiseee kwan watu wote wanaoenda PM wanatongozaaa ndo maana nimeshangaaa ametumia nguvu nyingi kujibu na kuweka mambo ambayo hayana maana

Yawezekana huyu enzi zakee anasomaa alikuwa anatoka nje ya swali .

Watu kama hawa wanajifanya wanajua mambo zaidi kumbe ni upopoma usiokuwa na faidaaaa.

Ukijiuliza hapo kwenye uzi wangu wapi nimeandika kwamba kumfata mwanaume pm ni kutongozana hakuna lakin yeye kaja na maana yake moja tu ya umalayaa .

Nikimuiita Popomaaa nazan jina litakuwa limemfaaa sanaaa.
 
Back
Top Bottom