Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Hahahahaha......wewe utakuwa umetumwa, what is so special? au ndio unaandaa mazingira ya kuja kushtakiana mambo ya kutelekeza familia/watoto?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimewaambia ukweli wale wanaolalamikaaa tu
 
Naona umeamua kujipigia promo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]safi sana
ningekuonyesha PM ungeshuhudia toka nianze kutumia jf niliowafata pm nazani ni watu wawili kama sio watatu wengine wote wanakukaga tu
 
Hivi kwani lazima PM!wanaoitaji pm wagonjwa wa akili!
 
Shemela ni PM na mimi leo nitoe nuksi
 
Umetumia nguvu nyingi kujibuuu alafu hata hujaeleweka ndugu yangu poleee sanaaa
 
Wengine tunaponzwa na avatar zetu..
 
Umetumia nguvu nyingi kujibuuu alafu hata hujaeleweka ndugu yangu poleee sanaaa
Amesema hivi (Nanukuu) HANA SHIDA NA PM ZA MALAYA WA JF kwasababu yeye ananunua wa buku 5. Sometimes waelewe tu wasiokubaliana na wewe sio wote watakuwa na mawazo kama yako au kukuunga mkono.
 
Amesema hivi (Nanukuu) HANA SHIDA NA PM ZA MALAYA WA JF kwasababu yeye ananunua wa buku 5. Sometimes waelewe tu wasiokubaliana na wewe sio wote watakuwa na mawazo kama yako au kukuunga mkono.
Aiseee kwan watu wote wanaoenda PM wanatongozaaa ndo maana nimeshangaaa ametumia nguvu nyingi kujibu na kuweka mambo ambayo hayana maana


Yawezekana huyu enzi zakee anasomaa alikuwa anatoka nje ya swali .

Watu kama hawa wanajifanya wanajua mambo zaidi kumbe ni upopoma usiokuwa na faidaaaa.

Ukijiuliza hapo kwenye uzi wangu wapi nimeandika kwamba kumfata mwanaume pm ni kutongozana hakuna lakin yeye kaja na maana yake moja tu ya umalayaa .

Nikimuiita Popomaaa nazan jina litakuwa limemfaaa sanaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…