Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Mweeeh
Nipo hapa nawasubiri wanaume mkuje jamani

Kwahiyo unataka kusema wanaume wanaoshinda chit chat na mmu hawafai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tunakujaaa
 
Nitoe maoni yangu
1. Wengi mnaosema mnatafuta wachumba hampo sirias mnafanya utani kwenye mambo serious ndio maana mwisho wa siku unajikuta unaolewa/kuoa tu kutimiza matakwa ya kidini.
2. Hata wale mnaotangaza biashara sijui nauza/nanunua wengi hampo serious ukifatwa PM unaanza kuleta mbwembwe kama umebeshwa chuma.
3.Suala la mtu kukufukua/kukujudge kutokana na comments zako nadhani halipo sahihi sana sababu huu ni mtandao una watu wenye tabia tofauti kwa hiyo kama ukiwa na mentality hiyo hata katika maisha yako utaishia kujudge mtu aliyevaa smart mstaarabu kumbe huyo ndo mshenzi hakuna.
All in all mimi nasisitiza watu mnaoweka post za kutafuta wachumba au kuuza vitu muwe serious muache UTANI na UTOTO. Na kama unaona mtu hayuko type yako mchane tuache UNAFIKI vijana.
 
😀 😛 Niliwahi kumkosa kosa flat screen mmoja wa JF maana baada ya kwenda kufukua makaburi akagundua mie ninashangilia wanawake wenye chura mkubwa mkubwa! Akaona kwangu atapoteza time tu!
 
Mbona hamna hata mwaliko leo jamani.
Dah Sasa Wewe Hupatikani Umenifungia Vioo Eti...

Nisikufiche Mimi Mwenyewe Nimegongea Pilau Kwa Maza Hausi...
Nyie Mmepumzika Me Leo Ndo Siku Ya Kazi All Night...
 
Dah Sasa Wewe Hupatikani Umenifungia Vioo Eti...

Nisikufiche Mimi Mwenyewe Nimegongea Pilau Kwa Maza Hausi...
Nyie Mmepumzika Me Leo Ndo Siku Ya Kazi All Night...
Maza hausi ndio bi mkubwa?
Kazi gani usiku wote jamani.
 
dada umeolewaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…