Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Hahahaaaa et kwenye jukwaa la magar kwenye hilo jukwaa rrondo nahis huwa anapata pm za kufa mtu

Mbona mimi huwa nazungukia mmu na chitchat lakin napata pm hadi nataka kuifunga pm yangu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aisee RONDO yawezekana pm yakee imeandika "Memory full"
 
Ohooo Tungekuwa tunatumia Akili zetu za kawaida humu hakika wengine mngetushangaa sana.

Mimi njooni Pm niwajaze Mimba sina cha kwamba hauko kwenye siku za hatari wala salama, Mbegu zangu hubaki hai Masaa 300 toka ziingie.

Karibuni Pm
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]watajiju waache kualalamika na kuonea wivu couple.
Shemela wew ulisema mtu akikupm tu kama ana pess unasikia harufu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hao kundi la mwisho mie huwa nilidhani ni watu wanaokujua wanakuibukia na ID kongwe!!

Mie huwa sina maslahi huko, nilikuwa nawajibu wote tuu ilimradi hawana madhara!
 
Sms zinakuwa hivi

1:05
Mambo valentine

2:40
Habari yako mrembo

4:00
Mbona kimyaaa mamy

6:9
Nijibu basi nina shida na wewe

8:09
Nitext whastap +45456888

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…