[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha tu mama mwenyewe unajiongelesha kwenye thread unajidanganya mm kipotabo mtu anakuquote we shunia acha uongo nakujua mm mbona ww kibonge cheusi unajiuliza kanijuaje mwisho wa siku kumbe ana ukaribu na bwana pepsi picha alionyeshwa na bwana pepsi
Usikubali kukutwa na bwana pepsi kabisa
Bwana Pepsi mjinga mmoja hivi anayetaka kukujua kilazima akishakujua anaanza kuwaonyesha watu wa jf picha zako akikutana nao
Hajawahi kwenda leba hivyo ni kiBen10[emoji23] [emoji23] [emoji23] ananyonyesha kibe10 au katoto kachanga?!!
we endeleaSasa si unataka kunianika ili nipate soko
hapana sio woteMnatujaribia bwanaa!Mimi humu nawaogopa kama ukoma
[emoji23] [emoji23] mshipa wa nani?Sijambo mm jamani za wewe mshipa wake mtu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] roho mbaya sio nzuri ujueSijafunga ila hupati jibu![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uwwwiiiii.....Wadada hawawezi kukukataa unavyojiweka nao unajifanya mkaka wa busara
Hiyo babe utailipia siyo ya bure
me staff bhanaUje na mahela sasa hakuna salaam ya bure
Basi mimi nikija naomba usinichunieRoho mbaya mmetufundisha nyie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa anawaonesha ili iweje!!!!
Wanadamu ndo tulivyo hatuwezi fanya kila kitu sawa lazima tutofautiane
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ananyonyesha kibe10 au katoto kachanga?!!
dah, noma sana! hamna namna lazima muwe waangalifu![emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akioza mmoja