mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
We endelea kuniwekea kauzibe[emoji23] [emoji23]Hatari ya nn jamani mshipa wake mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We endelea kuniwekea kauzibe[emoji23] [emoji23]Hatari ya nn jamani mshipa wake mtu
Kwa kukusamehe ngoja boss wangu alipwe hela yake ya bill ya maziwa nimwibie utanikomaHapana analipwa mahela tu
Mfuateni PM muelekezeni mlivyoingizwa mjini na vijana wa JF
Shunie em njoo pm tuzungumze kwanza.
We endelea kuniwekea kauzibe[emoji23] [emoji23]
Kwa kukusamehe ngoja boss wangu alipwe hela yake ya bill ya maziwa nimwibie utanikoma
Mpunguzie mchepuko mmojaWe vipiii inakuhusu nn hatuendi pm tuko hapahapa
hata mimi mshikajiWeeeeh hakuna staff hapa
Ndugu yako hajamaliza honeymoon?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kauzibe ka nn tena jamani
Mpunguzie mchepuko mmoja
Sasa huu ni ulimbukeni wa kiwango cha lami.Bwana Pepsi mjinga mmoja hivi anayetaka kukujua kilazima akishakujua anaanza kuwaonyesha watu wa jf picha zako akikutana nao
hata mimi mshikaji
Ndugu yako hajamaliza honeymoon?
Nini kingine sema tu na roho yangu itapona hata ukitaka na ng’ombe niwalete nitawaleta sharti moja ufunge PM yakoUkimwibia unitumie
Hehe sawaNitakufurahisha
Nini kingine sema tu na roho yangu itapona hata ukitaka na ng’ombe niwalete nitawaleta sharti moja ufunge PM yako
Unaikataa kuwa sio wewe, mbona rahisi tuAcha tu mama mwenyewe unajiongelesha kwenye thread unajidanganya mm kipotabo mtu anakuquote we shunia acha uongo nakujua mm mbona ww kibonge cheusi unajiuliza kanijuaje mwisho wa siku kumbe ana ukaribu na bwana pepsi picha alionyeshwa na bwana pepsi
Usikubali kukutwa na bwana pepsi kabisa