mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Kakatazwa sio?Hivi si nilikwambia harudi huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakatazwa sio?Hivi si nilikwambia harudi huku
Unakataaje mtu anakwambia kama unabisha nipost picha yakoUnaikataa kuwa sio wewe, mbona rahisi tu
Kakatazwa sio?
Aisee, kumbe! Sisi wageni tunapata tabu sanaJf ni zaidi ya uijuavyo watu wanajuana humu, wanatongozana humu, wanatiana humu, wanamwagana na wanakuja kupondana humu.
Ushamba ni mzigo
HayaKaamua eti
Akirusha unasema sio mimi umedanganyaUnakataaje mtu anakwambia kama unabisha nipost picha yako
Ah! Binamu bhana, sio kila mwenye kikojoleo kinachoning'inia ni mwanaume. Mungu ametoa bila hiyana vikojoleo vinavyoning'inia kwa makundi yafuatayo:
1. Wanaume
2. Wavulana
3. Vivulana!
Unafanya kosa kubwa sana unapotuchanganya Wanaume pamoja na vivulana na hata wavulana!! Hao unaowazungumzia ni vivulana, and of course, wengine ni wavulana!
NOTE: Sometimes hata mtu mwenye rika la Le Mutuz anaweza ku-behave kama kivulana huku mwenye rika la Dogo Janja aki-behave like a real man!
Akirusha unasema sio mimi umedanganya
Mi pia nataka nihamishie makazi pm maana ndo kutamuAisee, kumbe! Sisi wageni tunapata tabu sana
Ngoja nikuPMEeeh Mungu nisaidie nisi comment kwenye huu uzi .
Ila ngoja kwanza .
Mimi nikiona mtu kani pm siku hizi nakemea kabisa.
Hata mimi nashangaa, itabidi tuanze kwenda pm mkuuHuko PM lazima na mimi nijaribu maana mmh sijui kuna nini
Kukipendeza unistue mkuuMi pia nataka nihamishie makazi pm maana ndo kutamu
Mi pia nataka nihamishie makazi pm maana ndo kutamu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] toa lock iyo nkutigo pesaAnzia kwangu
Unamkana mchana kweupe hatarudia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marahaba mdogo wangu Shunie, hujambo enh!!!Shikamoo chige
[emoji2] [emoji2] [emoji2] pashapendeza kabla ata sijaendaKukipendeza unistue mkuu