machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Niko best nasoma comments,so sitaki kujua upande upi ni sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Doh kumbe zinahitaji strategies ili kuzipata?Tatizo avator yako mkuu! Badili avator kama kuta kuchwa!
Hahahaaa!!! Ahsante dada Shunie basi siku nikija PM usinisemelezee hapa JF manake nimemwambia Malcom Lumumba kwamba mimi na yeye tupo sawa tu... according to Demiss, hatupendeki hapa JF!Sijambo kaka chige jamani nimefurahi kukuona nimependa ulichoandika
basi uje kunipa makapuku huku watu wengi maana pm umegomaHakuna jamani
mkuu utajibu lini pm yangu?Doh kumbe zinahitaji strategies ili kuzipata?
Hahahaaa!!! Ahsante dada Shunie basi siku nikija PM usinisemelezee hapa JF manake nimemwambia Malcom Lumumba kwamba mimi na yeye tupo sawa tu... according to Demiss, hatupendeki hapa JF!
basi uje kunipa makapuku huku watu wengi maana pm umegoma
aiseee saa10 imefika na bado unapumua Mungu ni mwema wakati wote
Hehe mpango mkakati muhimu!Doh kumbe zinahitaji strategies ili kuzipata?
Tangu lini nikawa na utani na wewe cheupe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Achen kunfwata fwata pm siwatak
washa moto kidogo basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu huko
Mkuu naomba list ya masingo maza na mm nifanye yangu.Kweli pia inakuja pia tabia ya mtu mwenyewe unayewasiliana. Kinachowaponza wanawake wa Jf hua wanadata na hawa vijana wanajisifia kwa Comment zenye kuvuti. Mkiona mtu ana comment za mapenz nzuri maybe how anavyo care, anavyo jiamini na kugegeda nyie mnapaga. Mnadhani ndio mmepata sasa hamjui watu wana prertend ili kuwapata kirahisi.
NILICHOGUNDUA
Humu jf ukijifanya unasifia wanawake hasa singo maza, unawatetea basi unawapata kirahisi more than you think.
Jf ni zaidi ya ninavyoijua? Ipoje hiyo dada..
Sasa mbona zikija wanalalamika!Hehe mpango mkakati muhimu!
PoleeHapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu
We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako
Nitarudi
Nipooo, naona PM zina shida.Nakusalim divine..
Yawezekana haziji ndani ya mkakati ( yaani masirahi kusudio)Sasa mbona zikija wanalalamika!
Niko nyuma ya wakati
ItakuwaYawezekana haziji ndani ya mkakati ( yaani masirahi kusudio)
Naam bibie watu wanafanyiana mabaya humu.. ila nimekumiss mnooNipooo, naona PM zina shida.
Yeah, sasa sijui nawe zitakuja ndani ya mpango mkakati au nje ya mpango mkakati!Itakuwa