Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu huko
basi uje kunipa makapuku huku watu wengi maana pm umegoma


aiseee saa10 imefika na bado unapumua Mungu ni mwema wakati wote
 
Kweli pia inakuja pia tabia ya mtu mwenyewe unayewasiliana. Kinachowaponza wanawake wa Jf hua wanadata na hawa vijana wanajisifia kwa Comment zenye kuvuti. Mkiona mtu ana comment za mapenz nzuri maybe how anavyo care, anavyo jiamini na kugegeda nyie mnapaga. Mnadhani ndio mmepata sasa hamjui watu wana prertend ili kuwapata kirahisi.

NILICHOGUNDUA
Humu jf ukijifanya unasifia wanawake hasa singo maza, unawatetea basi unawapata kirahisi more than you think.

Jf ni zaidi ya ninavyoijua? Ipoje hiyo dada..
Mkuu naomba list ya masingo maza na mm nifanye yangu.
Mi mwenyewe singo dadi naweza pata colabo nzuri hapa.
 
Hapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu

We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako

Nitarudi
Polee
 
Back
Top Bottom