Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

washa moto kidogo basi
Hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
wouzeeeeeer
 
Bora nimeifunga tu maana vimtu vingine vinakuja ni vitoto,wengine kama hivyo mnaanza kuwasiliana baadae unajua ni mapugi ,wengine utani wanaugeuza ukweli lo, hao wanasambaza pic wala msiwajali kwani mmeua ,jf siogopi mtu yeyote najiamini nilivyo anaeona mi wa ajabu yupo anaeniona wa maana na ni mzuri kwake , maana kuna watu wabaya kuzidi hata mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kingine nishapata mpenzi anaenipenda nampenda wala sihitaji pm
 
Wouzeeeer wouzeeeerrrr[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] hauzimiiiiiiiiiiiiiiiii
wouzeeeeeer
 
Ndiyo maana navumilia.
Kuna watu walikutana kwenye group moja wakapost picha zangu 3 tofauti. Yaani watu wa 3 tofauti.
Basi mtu anayenijua mle akanitumia nilicheka sana.


Ndio maana dini yangu imekataza kupiga picha.
 
Heheh na mimi nitumie pm hizo picha [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pole kumbe kuna wanaume wa hivyo
 
naskia sauti za majibwa kila kona, wuu wuu kumbe ni mbwa koko/
naskia sauti za majibwa kila kona , wuu wuu kumbe ni mbwa koko/
hawang'atii hawang'ati.. wuu wuu kumbe ni mbwa koko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…