Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Nakaziaa....mwingine hujamvulia hata chupi basi tu anakusambaza tu ilimradi
 
Nisamehe. Sirudii tena. Rudisha majeshi
 
OyA ... Nyie wanawake siwatak pm mkija mje ... Na maada za .maana za kusaidia kuleta pesa ....sio ooh swalehe amekula ... Umelala ..baba swalehe ?? Sasa nmelala .. Akat unaona nipo online ... Shabash sitak utan mi nmevurugwa na .maanatomy huku .. Neurosurgery inasumbua. Haf unaleta story za ajabu leta story za maana wakuu [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] si useme tuu
 
Binti, chige ni kaka yako ???
Tangia lini aiseee ???
Demiss Chige ashakuwa kaka huku
Oh Lord!! Ama kweli, kikulacho kinguoni mwako! Maneno haya kweli yatoka kwa Malcom! Eti Demiss, hivi hapo juu si ndo fitina zenyewe hizi?!

Sa' hapo tu Shunie kasema mimi ni kakake... je, angesema ukweli kwamba mi ni kakake binamu, fitina si ndo zingezidi maradufu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…