Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Bwana Pepsi sijamuona kabisaa hapa!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yupo anasoma kimyakimyaBwana pepsii[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] simuonii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana Pepsi sijamuona kabisaa hapa!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yupo anasoma kimyakimyaBwana pepsii[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] simuonii
Naomba ni Ku pm Cute b....Eeeh Mungu nisaidie nisi comment kwenye huu uzi .
Ila ngoja kwanza .
Mimi nikiona mtu kani pm siku hizi nakemea kabisa.
Nakaziaa....mwingine hujamvulia hata chupi basi tu anakusambaza tu ilimradiWatu mmekutana PM mkapeana namba za simu,mkatongozana,mkapanga hadi kugegedana mkaenda mpaka mitoko mkavuliana vyupi mwenye kibamia sawa na mwenye bwawa sawa sasa kutangazana ndio nin ukiona mwanaume wa aina hyo si riziki na mwanamke wa namna hyo ujue huyo ni Mchelemchele
Nisamehe. Sirudii tena. Rudisha majeshiHapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu
We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako
Nitarudi
SitakiiiiNisamehe. Sirudii tena. Rudisha majeshi
Ndivyo binadamu walivyoNakaziaa....mwingine hujamvulia hata chupi basi tu anakusambaza tu ilimradi
yupi huyo nikuache utangulie pmkuna mmoja hapo nataka niende pm kwake
kipugi ndo inamaanisha nnUsiwe na akili za kipugi tu mkuu
kipugi ndo inamaanisha nn
Tatizo la kifamilia bwana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana twende MMU
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] si useme tuuOyA ... Nyie wanawake siwatak pm mkija mje ... Na maada za .maana za kusaidia kuleta pesa ....sio ooh swalehe amekula ... Umelala ..baba swalehe ?? Sasa nmelala .. Akat unaona nipo online ... Shabash sitak utan mi nmevurugwa na .maanatomy huku .. Neurosurgery inasumbua. Haf unaleta story za ajabu leta story za maana wakuu [emoji23] [emoji23]
Nakupenda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] si useme tuu
Niruhusu basi na mimi nije angalau huko pm mimi sina tabia za kipug.. Nije et umeshakubali.Hahahaaaa...mhhaahaa!bwana pepsii baridiiii