Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

mimi nakusalimia, nimekumiss pia


ban njema ndugu yangu maana naona hata saa 10 hutatoboa
 
😀😀Ujumbe umefika
 
Sijampatia picha nipo nae WhatsApp anaiba kwa dp tunaheshimiana sana lakini ana akili za kipugi jitu zima
Haaa!jamani ndo maana sitoi namba zangu kirahisi naogopa Mimi!sura lenyewa baya hiviiii![emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]jamanii
 
mimi jamani ni mvivu wa kujibu pm imagine lijitu linakuambia nimependa comment yako unaonekana mtamu jamani mimi mtamu nimekuwa asali?aisee sijibugi comment hata nachat na wachache sana wanaojielewa hasa akili kubwa wanaoweza nipa deal la maana au kuniongezea chakula cha ubongo.
Nkikujibu Pm nimekuheshimu,id naijua mlengo wake humu,au mimi nakufata kuna kitu umeandika nikashindwa kuandika jukwaani kwa sababu zangu hapo tutawasiliana na najua akili kubwa,hizo drama drama aaargh zinipite huko
 
Sijampatia picha nipo nae WhatsApp anaiba kwa dp tunaheshimiana sana lakini ana akili za kipugi jitu zima
Kuna watu wanapenda kutafuta "sifa" za kijinga ili na yeye aonekane mjanja mbele ya wenzake kwa kusema anamfahamu mtu fulani.

By the way kama yeye anapata sifa kwa ajili ya picha zako, basi wewe ni maarufu kumzidi yeye, mpotezee tu na kumwacha kama alivyo. Kwenye Jamii hii kuna watu wenye akili za kila namna.
 
Tabia za ki pu....
 
Mtazamo wako na ukweli tofauti kabisaa nakuambia waweza kua na ukweli only 2%!!

Hao wanaosifia wadada ungejua wapo waungwana hawana hizo mambo za kitoto!
 
ndo maana mpaka leo kimyaaaaa fanya unijibu bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…