Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

mimi jamani ni mvivu wa kujibu pm imagine lijitu linakuambia nimependa comment yako unaonekana mtamu jamani mimi mtamu nimekuwa asali?aisee sijibugi comment hata nachat na wachache sana wanaojielewa hasa akili kubwa wanaoweza nipa deal la maana au kuniongezea chakula cha ubongo.
Nkikujibu Pm nimekuheshimu,id naijua mlengo wake humu,au mimi nakufata kuna kitu umeandika nikashindwa kuandika jukwaani kwa sababu zangu hapo tutawasiliana na najua akili kubwa,hizo drama drama aaargh zinipite huko
Mimi pia naogopa mnooo!
 
Kuna watu wanapenda kutafuta "sifa" za kijinga ili na yeye aonekane mjanja mbele ya wenzake kwa kusema anamfahamu mtu fulani.

By the way kama yeye anapata sifa kwa ajili ya picha zako, basi wewe ni maarufu kumzidi yeye, mpotezee tu na kumwacha kama alivyo. Kwenye Jamii hii kuna watu wenye akili za kila namna.
Ahsante kaka
 
Yaan mondray huwezi kumdhania huyu kaka jamani anavyojifanya wa heshima kwanza akitaka kukuzoea sasa anajifanya dada angu kimekwenda kimerudi kumbe anataka akujue tu halafu akikutana na watu wake huko anawaonyesha picha anazoiba kwa dp yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariii hiii!!!
 
Acha tu mama mwenyewe unajiongelesha kwenye thread unajidanganya mm kipotabo mtu anakuquote we shunia acha uongo nakujua mm mbona ww kibonge cheusi unajiuliza kanijuaje mwisho wa siku kumbe ana ukaribu na bwana pepsi picha alionyeshwa na bwana pepsi

Usikubali kukutwa na bwana pepsi kabisa
[emoji23] [emoji23] pole sana dear!hivi watu kwa nini sio waungwana ndo maana Mimi naogopa sana kujuana humu!
Mambo yenyewe ndo hayo akuu!!!

Mbona sio uungwana!
 
Yaan mondray huwezi kumdhania huyu kaka jamani anavyojifanya wa heshima kwanza akitaka kukuzoea sasa anajifanya dada angu kimekwenda kimerudi kumbe anataka akujue tu halafu akikutana na watu wake huko anawaonyesha picha anazoiba kwa dp yako
Daaaah pole sana Shuniie..
Kwakweli bora niwe na mawasiliano na wanaume tu wa JF. Sasa anapata faida gani???
 
Back
Top Bottom