General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Hii promo hiiHapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu
We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako
Nitarudi
Halafu inajiona mijanjaTena waendelee hivyo hivyo simara,saluti kwao,aaargh yaani mimi sipendi mijanaume mishamba mishamba jamani aaaaargh
Nasujiria pm yako mamamimi jamani ni mvivu wa kujibu pm imagine lijitu linakuambia nimependa comment yako unaonekana mtamu jamani mimi mtamu nimekuwa asali?aisee sijibugi comment hata nachat na wachache sana wanaojielewa hasa akili kubwa wanaoweza nipa deal la maana au kuniongezea chakula cha ubongo.
Nkikujibu Pm nimekuheshimu,id naijua mlengo wake humu,au mimi nakufata kuna kitu umeandika nikashindwa kuandika jukwaani kwa sababu zangu hapo tutawasiliana na najua akili kubwa,hizo drama drama aaargh zinipite huko
Kwani jaman picha yako si hiyo avatar?Ndiyo maana navumilia.
Kuna watu walikutana kwenye group moja wakapost picha zangu 3 tofauti. Yaani watu wa 3 tofauti.
Basi mtu anayenijua mle akanitumia nilicheka sana.
Haujakosea ni Mimi huyo!Kwani jaman picha yako si hiyo avatar?
Mimi najuaga ndo ww kwenye avatar yako
Mkuu ulipaswa kuwa tag hawa dada zetu wenye tabia za hovyo!!Jamii Forums ni kama msitu mnene wenye kila aina ya wanyama!
Humu ndani kuna watu wako very intelligent, humble, charming and caring.
Pia kuna watu wajinga kwa kiwango cha standard gauge, wanafki, mapoyoyo na wasiojielewa kabisa.
Kwa kifupi tu, JF ni kama hotel menu, you get served what you asked for!
Ukiwa mtu wa hovyo hovyo lazima ufuatwe na watu wa hovyo hovyo. Na ukiwa smart, lazima utajihusisha na watu smart. Ni rahisi sana kumfahamu mtu mpuuzi.
Njia pekee ya kuwaweka wapuuzi mbali ni kumaintain standards zako. Hakikisha kila unachoandika kinatoka kwenye akili ya mtu anaejielewa.
Sasa mtu anaanzisha thread eti njia za kuchepuka bila kukamatwa, unafikiri ni watu wa aina gani watakaotembelea PM yake mara kwa mara?
Acha niwambie kitu dada zangu, hawa mnaowaita MaPUGI hua wanajua aina ya watu wa kuwafuatilia wanaofanana na uPUGI wao. Chui hawezi kumuwinda simba wakati anajua uwezo wake unaishia kwa swala na nyumbu!
So here is a hint, keep higher standards and be classy!
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Great words..Jamii Forums ni kama msitu mnene wenye kila aina ya wanyama!

DaaaaAsante babe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Eeeh Mungu nisaidie nisi comment kwenye huu uzi .
Ila ngoja kwanza .
Mimi nikiona mtu kani pm siku hizi nakemea kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hajui kama ndo anazidi kukuongezea creditHapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu
We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako
Nitarudi
Haha[emoji3][emoji16][emoji16]yaani wanatujua kuliko tunavyojijua kaah!Valentina kwelii mi nakujua ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Ha haaa wala hata sishangai kabisa mae... Kuna watu wanatujua kuliko tunavojijua
Thnx my bro kana be blessed Mimi nashukuru toka niingie jf sijawahi kukumbana na kadhia kama hizo Niko makini mnoo!!Jamii Forums ni kama msitu mnene wenye kila aina ya wanyama!
Humu ndani kuna watu wako very intelligent, humble, charming and caring.
Pia kuna watu wajinga kwa kiwango cha standard gauge, wanafki, mapoyoyo na wasiojielewa kabisa.
Kwa kifupi tu, JF ni kama hotel menu, you get served what you asked for!
Ukiwa mtu wa hovyo hovyo lazima ufuatwe na watu wa hovyo hovyo. Na ukiwa smart, lazima utajihusisha na watu smart. Ni rahisi sana kumfahamu mtu mpuuzi.
Njia pekee ya kuwaweka wapuuzi mbali ni kumaintain standards zako. Hakikisha kila unachoandika kinatoka kwenye akili ya mtu anaejielewa.
Sasa mtu anaanzisha thread eti njia za kuchepuka bila kukamatwa, unafikiri ni watu wa aina gani watakaotembelea PM yake mara kwa mara?
Acha niwambie kitu dada zangu, hawa mnaowaita MaPUGI hua wanajua aina ya watu wa kuwafuatilia wanaofanana na uPUGI wao. Chui hawezi kumuwinda simba wakati anajua uwezo wake unaishia kwa swala na nyumbu!
So here is a hint, keep higher standards and be classy!
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Sio kwa ukweli mchungu huu.Jamii Forums ni kama msitu mnene wenye kila aina ya wanyama!

Peace be upon you!Thnx my bro kana be blessed Mimi nashukuru toka niingie jf sijawahi kukumbana na kadhia kama hizo Niko makini mnoo!!
I do value my value!I so scared of my reputation coz I know once it tarnish it won't be cleared easily!!
Mimi naomba Mungu anilinde sana kuna watu siwajibu kabisaa PM kwa sababu naogopa mnooo Mimi ni kwanza ni mtoto nimezaliwa,mama,Dada,Wifi,shemeji,mwalimu,jirani,rafiki wa watu na mwanajf naogopa sanaa mtu kunidhalilisha naogopa mtu!
Nawaeshimu wote wanaoniheshimu
Ahsante kaka barikiwa sana ila nikuambie kitu!don't judge a book by it's cover...!!Mkuu ulipaswa kuwa tag hawa dada zetu wenye tabia za hovyo!!
Mtu muda wote ni kuandika upuuzi unaategemea PM zake zitakuwa na watu watu wa maana?
Mleta mada na wahuni wenzie huwezi ona mada walizo changia zina mantiki, zaidi ya upupu.
Binafsi amejidhihirisha jinsi alivyoo!!!