Nikuhakikishie ukinijibu, utakuja na uzi mwingine unaosema '' hizi ndio sababu za kutowafungia pm wanaume mashine'' [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] sijibu!
Hii promo hii
Tangazo zuri kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu uzi naona umesema wa kichit-chat lakini mapovu ya ukweli naona ban zitahusika hapa na hivi bana inavyopatikana kwa bei rahisi, nikutakie na wewe ban njema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hajui kama ndo anazidi kukuongezea credit
Nijulishe na mimi haoIla pia humu kuna wanaume full package,wa maana hasa shida tu ipo kwenye kuwajua,ila ukituliza kichwa rahisi sana kuwajua
Sanaa. Akisutwa tutamuacha na janga lake
Balaa!!mbea huyuu[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mniwacheee huyo wa kunisuta sijamuonaDada unapenda ubuyu wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha hao ndio watu wa jfAhsante kaka barikiwa sana ila nikuambie kitu!don't judge a book by it's cover...!!
Uzuri wa mkakasi katikati kipande cha mti! Na sio kila mwandishi wa kitabu anaandika yaliyomkuta ni fasihi tu!!!
Usihukumu usilolijua na pia ungejua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] usingesemaa!!!huna ulijualo
Chuki zako kwangu Mimi zitakuumiza buree!!!
Humu ndani huwezi mjua mdada wa hovyo wala mtakatifu kwa kupitia mwandiko
Huu ni msitu ndugu!huyo unaemuona wa hovyo ukute hajawahi hata kufunuliwa humu ndani halafu huyo unaemuona wa maana ndo chakula ya wote.
So please kaa kimya soma mchezo!!!
Haha[emoji3][emoji16][emoji16]yaani wanatujua kuliko tunavyojijua kaah!Valentina kwelii mi nakujua ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Daaaa
Leo nitaoa kuitwa babe na shunie. huwa nakuwazia kila siku kabla ya kulala.
Ndo nasoma comments hapaHuoni general mangi alivyokomenti!!angejuaaa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkwe acha tu
Wanaume humu kama mab**t
Nakazia
Shikamoo ndugu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungejuaga usingekuwa unaquote post zangu hujui tu acha nikupe taarifa upo kwenye ignore list yangu usijisumbue kuniquote
Kama ni promo acha nivutie wateja wangu wewe inakuhusu nini wanaume kama nyie tunawaita mapugi byee
Hujamuona eeehh!!πππππ
Wanahukumu kupitia maandishi wangejua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]!!!Mungu niweke miye