Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Nikuhakikishie ukinijibu, utakuja na uzi mwingine unaosema '' hizi ndio sababu za kutowafungia pm wanaume mashine'' [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari hii
 
Hiki kicheko kwema ndugu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ahsante kaka barikiwa sana ila nikuambie kitu!don't judge a book by it's cover...!!

Uzuri wa mkakasi katikati kipande cha mti! Na sio kila mwandishi wa kitabu anaandika yaliyomkuta ni fasihi tu!!!

Usihukumu usilolijua na pia ungejua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] usingesemaa!!!huna ulijualo

Chuki zako kwangu Mimi zitakuumiza buree!!!
Humu ndani huwezi mjua mdada wa hovyo wala mtakatifu kwa kupitia mwandiko
Huu ni msitu ndugu!huyo unaemuona wa hovyo ukute hajawahi hata kufunuliwa humu ndani halafu huyo unaemuona wa maana ndo chakula ya wote.
So please kaa kimya soma mchezo!!!
Hahahaha hao ndio watu wa jf
 
Ungejuaga usingekuwa unaquote post zangu hujui tu acha nikupe taarifa upo kwenye ignore list yangu usijisumbue kuniquote

Kama ni promo acha nivutie wateja wangu wewe inakuhusu nini wanaume kama nyie tunawaita mapugi byee
Shikamoo ndugu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom