Shikamoo ndugu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu huyu kaka jamani I don't know nini tumemfanzaa!!Ungejuaga usingekuwa unaquote post zangu hujui tu acha nikupe taarifa upo kwenye ignore list yangu usijisumbue kuniquote
Kama ni promo acha nivutie wateja wangu wewe inakuhusu nini wanaume kama nyie tunawaita mapugi byee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama kila mtu kafunga pm na hajibu pm,hawa mabazazi watatafuna mahindi mwaka huu?
Tuwahurumie basi
Yaani!! If and only if wangejuaaa!wasingekaa na kutuona watu wa chitchat wahuni!umdhanie ndiye jamanii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunaonekana hatujatulia woiiii kumbe watakatifu wanaongoza huko
Morning mziguaGood morning
Huyu huyu kaka jamani I don't know nini tumemfanzaa!!
Halafu Mimi mbona sina shida nae I wonder how ananichukia masikini!!
Umeanzaa[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ilikuaje mkuu??Humu JF kuna watu wana akili mbaya balaa,mimi pia yamenikuta yakunikuta ndungu zangu
Mimi na kuwa miss wapi na wapi lakini? Au unanichokoza shoga?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hyo ya mzigua hyo au shunie Mimi mwajuma ndala ndefuuu
Anataka kujifanya hamna kitu kumbe mambo hadharani.Mahaba [emoji57][emoji57] halafu asiwe anasumbuka kuniquote quote yaani anajisumbua bure
Mimi na kuwa miss wapi na wapi lakini? Au unanichokoza shoga?
Akwendreeeee ukoAnataka kujifanya hamna kitu kumbe mambo hadharani.
Yaan Nokia wewe ni machuchu tu [emoji3]Jamani acheni maneno mengi wekeni machuchu basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh!
Kweli ni bora wali maharage kuliko walimwengu.
Shit is getting real in here!
Kwani kuna ubaya mamii?Sikujuaga kama humu kuna watu wanafahamiana hadi kwenye group za wasap
Yaan Nokia wewe ni machuchu tu [emoji3]