Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Ungejuaga usingekuwa unaquote post zangu hujui tu acha nikupe taarifa upo kwenye ignore list yangu usijisumbue kuniquote

Kama ni promo acha nivutie wateja wangu wewe inakuhusu nini wanaume kama nyie tunawaita mapugi byee
Huyu huyu kaka jamani I don't know nini tumemfanzaa!!

Halafu Mimi mbona sina shida nae I wonder how ananichukia masikini!!
 
Tunaonekana hatujatulia woiiii kumbe watakatifu wanaongoza huko
Yaani!! If and only if wangejuaaa!wasingekaa na kutuona watu wa chitchat wahuni!umdhanie ndiye jamanii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hao watakatifu sasaa!!!
 
Sio wewe mm alishawahigi kunitukana hapa chit chat ni ana mdomo mchafu sana toka siku huyo nimemuweka kwenye ignore list yangu nashangaa anapenda kuniquote quote leo nimempa taarifa ajue kabisa yaani sitaki aniquote
Huyu huyu kaka jamani I don't know nini tumemfanzaa!!

Halafu Mimi mbona sina shida nae I wonder how ananichukia masikini!!
 
Back
Top Bottom