Ngoja nije pm unikemee kuna kapepo kananisumbua!Eeeh Mungu nisaidie nisi comment kwenye huu uzi .
Ila ngoja kwanza .
Mimi nikiona mtu kani pm siku hizi nakemea kabisa.
Mimi pia naogopa mnooo!mimi jamani ni mvivu wa kujibu pm imagine lijitu linakuambia nimependa comment yako unaonekana mtamu jamani mimi mtamu nimekuwa asali?aisee sijibugi comment hata nachat na wachache sana wanaojielewa hasa akili kubwa wanaoweza nipa deal la maana au kuniongezea chakula cha ubongo.
Nkikujibu Pm nimekuheshimu,id naijua mlengo wake humu,au mimi nakufata kuna kitu umeandika nikashindwa kuandika jukwaani kwa sababu zangu hapo tutawasiliana na najua akili kubwa,hizo drama drama aaargh zinipite huko
Ahsante kakaKuna watu wanapenda kutafuta "sifa" za kijinga ili na yeye aonekane mjanja mbele ya wenzake kwa kusema anamfahamu mtu fulani.
By the way kama yeye anapata sifa kwa ajili ya picha zako, basi wewe ni maarufu kumzidi yeye, mpotezee tu na kumwacha kama alivyo. Kwenye Jamii hii kuna watu wenye akili za kila namna.
Mtaje iwe fundisho kwa wengine.Sijampatia picha nipo nae WhatsApp anaiba kwa dp tunaheshimiana sana lakini ana akili za kipugi jitu zima
Mtaje iwe fundisho kwa wengine.
huu uzi naona umesema wa kichit-chat lakini mapovu ya ukweli naona ban zitahusika hapa na hivi bana inavyopatikana kwa bei rahisi, nikutakie na wewe ban njemaHahaaaahaaa!ban ya nini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariii hiii!!!Yaan mondray huwezi kumdhania huyu kaka jamani anavyojifanya wa heshima kwanza akitaka kukuzoea sasa anajifanya dada angu kimekwenda kimerudi kumbe anataka akujue tu halafu akikutana na watu wake huko anawaonyesha picha anazoiba kwa dp yako
unamtafutia ban dada yakoMtaje iwe fundisho kwa wengine.
[emoji23] [emoji23] pole sana dear!hivi watu kwa nini sio waungwana ndo maana Mimi naogopa sana kujuana humu!
Mambo yenyewe ndo hayo akuu!!!
Mbona sio uungwana!
NitakufurahishaNgoja nije pm unikemee kuna kapepo kananisumbua!
Daaaah pole sana Shuniie..Yaan mondray huwezi kumdhania huyu kaka jamani anavyojifanya wa heshima kwanza akitaka kukuzoea sasa anajifanya dada angu kimekwenda kimerudi kumbe anataka akujue tu halafu akikutana na watu wake huko anawaonyesha picha anazoiba kwa dp yako