@bonny njoo huku hata mimi nimekuhamu.Mbebez katoka jf kabisa
Weeee. Kisa ile siku ama?? Arudi jamaniMbebez katoka jf kabisa
[emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji3] jamaniiiKibaya zaidi, ushavuta hisia zako sauti na sura take unamfananisha na MTU wa mbele huko
Unajipodoooa mwenyewe ili ufanane na yule dem muigizaji wa kibrazil,kufika tu unakata tamaa kama vile kitunguumaji kikiwa juani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndugu watakutumia upate aibu shauri akoNdugu wakutuma hela sijamuona
Ondoa shaka kabisa kiburudisho mm nilivyo zoba kwa walimbwende shaka sina juu yakoNirushie nauli nije jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaniii!!!tunakoma mbonaaa!!kuibiwa dp
Nakupenda mziguaa...my mkwee akili nyingiiii!!mpk zinamwagikaaMtu kutoa mawazo yake ni akili ya hovyo mkuu? Wote tungekua smart darasani kusingekua na wa mwisho. Hata saa mbovu kuna muda inasoma sahihi. Usimdharau mtu kwa jambo unaloona kwako halikuhusu. Kwa akili ya Mtoa mada hawezi kutoa kitu kwa kutunga tu au kujisikia lazima anajua kuna kitu kama hicho kipo na kimemkuta kama sio yeye mtu wa karibu. Tujifunze kuheshimu mawazo ya mwingine hata kama tunapingana nayo.
MweeYaani!kaka bony hata sijui aliko naonaga tu WhatsApp kule anachek my wasap status!!!
Agiza unachotumia hapo hapo ulipo alfu huyo aliekaa pembeni hapo mwambie aachie siti hyo imelipiwa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ngojeni meli ubungo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Utanitoa roho. Umetaja mbuzi katoliki nikaitamani ghaflaUkiwa na stress zako ingia jf dawa tosha kabisa. Ahsantee mello kwa jukwaaa hili mhudumu ongeza kama tulivyo mwite wa jikon kilo tatu mbuzi katoliki plipili usisahau na kachumbar ya matango. Karibu wadau[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
@bonny njoo huku hata mimi nimekuhamu.
Hapana ameamua tuWeeee. Kisa ile siku ama?? Arudi jamani
MnooA a a a ahaaaaa watu wanajua kuassume sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na thread juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndugu watakutumia upate aibu shauri ako
Ongera kwa kulitoa la moyon honeyHapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu
We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako
Nitarudi