Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Kibaya zaidi, ushavuta hisia zako sauti na sura take unamfananisha na MTU wa mbele huko
Unajipodoooa mwenyewe ili ufanane na yule dem muigizaji wa kibrazil,kufika tu unakata tamaa kama vile kitunguumaji kikiwa juani
[emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji3] jamaniii
 
Mtu kutoa mawazo yake ni akili ya hovyo mkuu? Wote tungekua smart darasani kusingekua na wa mwisho. Hata saa mbovu kuna muda inasoma sahihi. Usimdharau mtu kwa jambo unaloona kwako halikuhusu. Kwa akili ya Mtoa mada hawezi kutoa kitu kwa kutunga tu au kujisikia lazima anajua kuna kitu kama hicho kipo na kimemkuta kama sio yeye mtu wa karibu. Tujifunze kuheshimu mawazo ya mwingine hata kama tunapingana nayo.
Nakupenda mziguaa...my mkwee akili nyingiiii!!mpk zinamwagikaa
 
Sawa mkuu ngoja niagize
Agiza unachotumia hapo hapo ulipo alfu huyo aliekaa pembeni hapo mwambie aachie siti hyo imelipiwa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ukiwa na stress zako ingia jf dawa tosha kabisa. Ahsantee mello kwa jukwaaa hili mhudumu ongeza kama tulivyo mwite wa jikon kilo tatu mbuzi katoliki plipili usisahau na kachumbar ya matango. Karibu wadau[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Utanitoa roho. Umetaja mbuzi katoliki nikaitamani ghafla
 
Naishukuru jf imenifanya nifahamiane na watu ambao wamekuwa msaada mkubwa sana kwangu, na sijutii.

NB; jf ni kama mtaani tu, tupo wa kila aina humu, cha msingi ni kupuuzia tu yale/wale wanaokukwaza.
Una akili sana
 
Hapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu

We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako

Nitarudi
Ongera kwa kulitoa la moyon honey
 
Back
Top Bottom