glass amo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,645
- 4,330
Eeeh Mungu nisaidie nisi comment kwenye huu uzi .
Ila ngoja kwanza .
Mimi nikiona mtu kani pm siku hizi nakemea kabisa.
Hahaha. Kwa jina la yesu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeh Mungu nisaidie nisi comment kwenye huu uzi .
Ila ngoja kwanza .
Mimi nikiona mtu kani pm siku hizi nakemea kabisa.
U nailed it lady....Ninachoomba tujifunze kama binadamu kufilter nini cha kuongea na wapi. Kwa mfano mmetoka na mtu humu iwe dinner au club au wapi yanayotendeka yaishie humo. Sio jambo baya hata kujuana na member wote humu ila ukionana nao yaishie huko mlichoongea mlichofanya au chochote kile. Kubeba kitu ukakirudisha kwa mtu ambae mlimuongelea sio fresh ni kaunafki fulani.
Kuna watu wanaandika vizuri sana kwenye majukwaa ila hawana siri kwa wanaokutana nao nje ya jukwaa. Hata kama mmekutana kituoni atamtafuta member mwingine huku amwambie jana nilikua na mzigua kituoni morocco ikawa hiki ikawa kile. Hiyo sio poa maana hao wanaoambiwa nao wanarudisha tena. Watu wazima sisi tutendee haki miaka yetu kwa vitendo kwenye majukwaa pm na mtaani ikitokea. Mnatuaminisha na miandiko ya adabu mtu unajua amepata rafiki kumbe mtu mmbea bwana
Mwambie mchumba ako tabia za kunicheka ohooo, nitampasuaaaNimekuona
Heheheh kidogo ila kilo za kutosha... Ebu jongea kwanza uoate salam kutoka ughaibuni[emoji18]Kidogo tu jamani
Amen.Hahaha. Kwa jina la yesu
Nijongee wapi jamani nichukue na mm basi nikuje uko ughaibuniHeheheh kidogo ila kilo za kutosha... Ebu jongea kwanza uoate salam kutoka ughaibuni[emoji18]
Si ukuje huku mnapopananga tutete fursa kwanzaNijongee wapi jamani nichukue na mm basi nikuje uko ughaibuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko napaogopa sanaSi ukuje huku mnapopananga tutete fursa kwanza
Amen.
Hapa nasikiliza, nifundishe kunyamaza ,
Lini nilikupiga juu??Ndo umeamua kunipiga chini mazima?
Hahaahahah jamani Nokia tusameheNinazo picha za mtu kapiga akiwa kwao mahenge kavaa gagulo refu zaidi ya sketi ila anavyotuponda humu kama sio yeye...[emoji23][emoji23][emoji23]
Gracias... sijui ni sawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukinipasua mchumba angu atanitetea [emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie mchumba ako tabia za kunicheka ohooo, nitampasuaaa
Hao mabwana pepsi ni wa nchi gani? Ona wanavyotuwekea blocks[emoji84][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko napaogopa sana
At ur best[emoji252]Lini nilikupiga juu??
Aise.... unamtesa mwenzio whiteLini nilikupiga juu??
Ninachoomba tujifunze kama binadamu kufilter nini cha kuongea na wapi. Kwa mfano mmetoka na mtu humu iwe dinner au club au wapi yanayotendeka yaishie humo. Sio jambo baya hata kujuana na member wote humu ila ukionana nao yaishie huko mlichoongea mlichofanya au chochote kile. Kubeba kitu ukakirudisha kwa mtu ambae mlimuongelea sio fresh ni kaunafki fulani.
Kuna watu wanaandika vizuri sana kwenye majukwaa ila hawana siri kwa wanaokutana nao nje ya jukwaa. Hata kama mmekutana kituoni atamtafuta member mwingine huku amwambie jana nilikua na mzigua kituoni morocco ikawa hiki ikawa kile. Hiyo sio poa maana hao wanaoambiwa nao wanarudisha tena. Watu wazima sisi tutendee haki miaka yetu kwa vitendo kwenye majukwaa pm na mtaani ikitokea. Mnatuaminisha na miandiko ya adabu mtu unajua amepata rafiki kumbe mtu mmbea bwana
Sawa kabisa hujakosea hata herufi moja white..... [emoji5][emoji5]Gracias... sijui ni sawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hivi upo?? Nasubiri upate hela unipeleke kwenye JDAt ur best[emoji252]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ananizingua huyoAise.... unamtesa mwenzio white