Umenifanya nipitie likes Kwenye Kila comment naona za wadada tu na mwanaume mmoja
Atanywea hiyo siku. Maana hivi vikao anavipenda sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani usimfanye apagawee
Si mmekubaliana msijibu
Njoo fastaaMmmh? Naomba kuja piemu.
Ziwe fuuuuuupi mstari mmoja tunaosoma tusipate tabu
Ok nakomenti hapa ili wasije wakasema id zinazosumbua watu pm hazijaja kukomenti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Eva ulitongozwaaa!!UNGEINGIA LINE BEST UNGEJUTAA!Mi nashukuru sijatongozwaa wala kuambiwa ujinga ujinga hata kidogoo!Havai boxa bana alikuaga anaaga Eve baadae ngoja nikafue chupi, nauliza chupi au boxa et chupi mie sipendi kuvaa boxa...
Tumekutana na positive impacts humu humu,mitandaoni maigizo , kila mmoja kasoma chuo, kila mmoja tajiri, kila mmoja anagari hawaaminiki kabisa.
Kumbeez ndio mana ulikuwa huonekani humu umekatazwaIla huu uzi mtamu japo bwana shemela kanipiga lock wacha nicomment kidogo mburaaah
Nishtue basi maanake kuna mkaka humu namfukuzia isije kuwa ni yeye![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hornet nimecheka mie
Hivi zama naye ana magazeti eeh.Au Zamaradi
Nilijua hilo Mimi ndo maana nakujua wewe mtu wa kupanick hutaki ujingaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mm bhn najiamini mzuri wa face hata ukisambaza picha kazi bureeeSi mmekubaliana msijibu
Hapana huwezi mdhania hata kidychuu
Hao fake wa hvyo hata real life ni yukio hvyo tupo humu maskini tunaishi uswazi tunapanda daladala na tunakopana humu humu jf [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na watumiaji wa tecno pia!mitandaoni maigizo , kila mmoja kasoma chuo, kila mmoja tajiri, kila mmoja anagari hawaaminiki kabisa.
Unakiuka makubaliano na shem?Ila huu uzi mtamu japo bwana shemela kanipiga lock wacha nicomment kidogo mburaaah