Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Nakazia nakazia na humu jf wadada wengi wa jf kwa style ameshawajua anajua picha zao
Ila have learned watu wanaojifanya soo social ni wakutizama kwa jicho la tatu, make huo usosho anakua na marafiki wengi plus kuact mzee wa busara unampa mastory tayari kapata umbea.... Mzee wa mbuzi we kiboko sudy brown akasome
 
Si mtaje basi hata herufi mbili za jina lake jamani mbona mnatuacha gizani namna hii
 
Ila have learned watu wanaojifanya soo social ni wakutizama kwa jicho la tatu, make huo usosho anakua na marafiki wengi plus kuact mzee wa busara unampa mastory tayari kapata umbea.... Mzee wa mbuzi we kiboko sudy brown akasome
Nakazia ndo maana bebe wangu sio mtu wa sosho Yuko cool!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na bora haujaniambia toka mda kichambo kingemuhusu kama cha kipindi kile anavyotoa picha zangu kwa dp na kusambaza na kichambo kile lakini bado aliendelea na tabia yake
Nilijua hilo Mimi ndo maana nakujua wewe mtu wa kupanick hutaki ujingaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom