Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Nakazia nakazia na humu jf wadada wengi wa jf kwa style ameshawajua anajua picha zao
Ila have learned watu wanaojifanya soo social ni wakutizama kwa jicho la tatu, make huo usosho anakua na marafiki wengi plus kuact mzee wa busara unampa mastory tayari kapata umbea.... Mzee wa mbuzi we kiboko sudy brown akasome