[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakujua hucheleweshagi wewee!!!
SakayoNani huyo mchepuko wako?!!
Tunaanza hivihivi hua mnaanzaje kutumiana PM, na hadi mnatafutana kabisa , mimi watu wa kwenye mitandao siwaamini kabisa na hua mazoea sitaki, tutachart hadharani na kuishia hapo.
Nashukuru jamani.
Basi mi naenda
Akutajie jina toka mwanzo ungejua code ilifunguka kirahisi[emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Tunaanza hivi
Mambo
Poa...
Hapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu
We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako
Nitarudi
Ameblock pm [emoji16] [emoji16]Akutajie jina toka mwanzo ungejua code ilifunguka kirahisi
Account hii mbona siyaoniiii au amebadilikaBalaa yaani makala kabisaa!za RAI