Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wwwwwwwhhhhhhhhhaaaaaaaatttttttttt.
Ndiyo huyooooo???????????
Hapaaaanaaaaaaaa haiwezekani. Nasema ni fiucha imposibo. Ndiyo kusema??
Rest in peace UAMINIFU
Kumbe jee?!!ndo huyoooo!!tenaaaaaa!tek keaaaaa!!mai diaaaaa!
 
Tunaanza hivi

Mambo

Poa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Hapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu

We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako

Nitarudi

haya nimekuskia naenda kodak kuziprint kabisa.
 
Balaa yaani makala kabisaa!za RAI
Account hii mbona siyaoniiii au amebadilika
IMG_20180804_210945_701.JPG
 
Back
Top Bottom