Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
nawaona nawaona mmeianza safari ya kutumiana pichaFreeeeshhhhhh
We mfikishie tu salamu zangu [emoji23][emoji23]Atoke wapi?? Hahahaaa
Sasa mchepuko umetoka jukwaani mbona in real life bado nachepuka nao? Anafaidi nini sasa huyo msengekoko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchepuko wako babu
We mfikishie tu salamu zangu [emoji23][emoji23]
Auntie bwana pepsi itabidi unifungulie code kwakweli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na bwana pepsi je auntie
Marahabaa....... Hujambo bibieThikamoo kaka Mwanyasi
Aaaah....basi hakuna haja yakupitia comments[emoji23] [emoji23] [emoji23]Upooo!humu chit chat!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Komredi hata mimi bado sijajua. Ila with time kila kitu kitaeleweka. Vuta pumzi tu komredi, you never know with women...Komredi....what’s going on here? Unaelewa kinachoendelea??
Hahahaaaa!! Hapa nasubiri aombe naona ananichelewesha hata haombi. Itabidi nimtumie tu.nawaona nawaona mmeianza safari ya kutumiana picha
Jana na leoWale tunaosoma comment tutambuane plllzzzzz.
Kwahiyo aliyemtoa ni huyo mseenge mzee wenu?Mchepuko wakoo
Machale yalinicheza, ni nadra kukuta mwanaume anamzungumzia umbea mwanaume mwingine au mwanamke. Nikaona hili ni bomu la nyuklia, kwa unafiki sijambo nikawa naenda nae kinafiki.
Safi kabisaa ukiona anasema watu jua na wewe utasemwaaMachale yalinicheza, ni nadra kukuta mwanaume anamzungumzia umbea mwanaume mwingine au mwanamke. Nikaona hili ni bomu la nyuklia, kwa unafiki sijambo nikawa naenda nae kinafiki.
Sasa mchepuko umetoka jukwaani mbona in real life bado nachepuka nao? Anafaidi nini sasa huyo msengekoko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Auntie bwana pepsi itabidi unifungulie code kwakweli.
Ngoja zitue kwenye gallery ya mzee wa mbuziWasambazane vzr
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Havai boxa bana alikuaga anaaga Eve baadae ngoja nikafue chupi, nauliza chupi au boxa et chupi mie sipendi kuvaa boxa...