Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Machale yalinicheza, ni nadra kukuta mwanaume anamzungumzia umbea mwanaume mwingine au mwanamke. Nikaona hili ni bomu la nyuklia, kwa unafiki sijambo nikawa naenda nae kinafiki.
Safi kabisaa ukiona anasema watu jua na wewe utasemwaa
 
Eeenh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msengekoko basi naweza kupata ban kwa kuiga neno la babu
Sasa mchepuko umetoka jukwaani mbona in real life bado nachepuka nao? Anafaidi nini sasa huyo msengekoko
 
Havai boxa bana alikuaga anaaga Eve baadae ngoja nikafue chupi, nauliza chupi au boxa et chupi mie sipendi kuvaa boxa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom