Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Yaan bora HR666 anajifanya ana heshima uingie kwenye 18 zake basi unazijua picha na unaziiba kitulize wewe tena kuzitembeza kwa kila mwana jf ukiwa nao au kuwatumia
Acha kumchafua HR 666,,,ulimfata PM mara moja tu kumtumia link ya tapatalk alafu badae ukafunga PM yako hamjawahi kuchati asa izo picha zako amezipata wapi kwa wasapu ipi?
 
Acha kumchafua HR 666,,,ulimfata PM mara moja tu kumtumia link ya tapatalk alafu badae ukafunga PM yako hamjawahi kuchati asa izo picha zako amezipata wapi kwa wasapu ipi?
Mimi naona kuna shida kwenye kuelewana.
Shunie amesema bora Hr alitakiwa aweke nukta lakini hakuweka.
Akaanza story ya huyo mtu ambaye wanamzungumzia kwenye Uzi kwamba anajifanya ana heshima ila ukimtumia.....
Hajaongea kwamba ni hr
 
Back
Top Bottom