Unakuja lini tena geto kwangu?Ota tu sio mbaya ila ukiona sura yangu utadhimiaaa
Ya mtandao gani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuma vochaaaa!!!nkutajie
jinsi ulivyo mlimbwende au sio", daaah mpaka nitazimia. !! yajayo " yAnafurahisha"Ota tu sio mbaya ila ukiona sura yangu utadhimiaaa
Usupastaa wa kitu gani mkuu?
Ndiyo, sasa mtu umetoka ulipotoka unakuja kuanza kumtext mtu unamwambia niambie.Halafu anamalizia na "NIAMBIE" [emoji23][emoji23][emoji23]
cute b ,hr 666 ameniagiza nikwambie anakupenda sana .Nakazia hapa.
Kwa hiyo huyo mtu ana jifanya ana heshima ili apate picha za watu eti??
Hahahahahahahha basi zipate utulie, bado unawashwa Nazo .
Mie watu wenye heshima siwataki tena bora HR666
Acha kumchafua HR 666,,,ulimfata PM mara moja tu kumtumia link ya tapatalk alafu badae ukafunga PM yako hamjawahi kuchati asa izo picha zako amezipata wapi kwa wasapu ipi?Yaan bora HR666 anajifanya ana heshima uingie kwenye 18 zake basi unazijua picha na unaziiba kitulize wewe tena kuzitembeza kwa kila mwana jf ukiwa nao au kuwatumia
muongo uyo ajawai kuchati na HR 666 kwanza walikuwa hawapatani.Dah sasa mbona Mimi hakunitumia? Niambie basi ni nani anitumie na Mimi [emoji13]
Mimi naona kuna shida kwenye kuelewana.Acha kumchafua HR 666,,,ulimfata PM mara moja tu kumtumia link ya tapatalk alafu badae ukafunga PM yako hamjawahi kuchati asa izo picha zako amezipata wapi kwa wasapu ipi?
Mwambie asante na mwa I love tuu eticute b ,hr 666 ameniagiza nikwambie anakupenda sana .
Anasema alikutumia ujumbe pm juzi ukamkaushia kama humjui vile .Mwambie asante na mwa I love tuu eti
Uwa siipendi iyo text na uwa siijibuNdiyo, sasa mtu umetoka ulipotoka unakuja kuanza kumtext mtu unamwambia niambie.
Ningekuwa na cha kusema si ningekutext mwenyew
Tena wewe nitakomaa na ww mpaka kielewekeEeeh Mungu nisaidie nisi comment kwenye huu uzi .
Ila ngoja kwanza .
Mimi nikiona mtu kani pm siku hizi nakemea kabisa.