[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeniweza...
Bora abaki na njaa yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbwa anaona bora akachume mahindi achome ale
Na mie niseme shukrani mkuu. Dada anaulizia ile kitu ya kontena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katika busara huyu mdada yuko vzr ,binafsi huwa namuelewa sana
Mambo!Sasa mtu anikute nshavurugwa aniletee hizo niambie zake lazima akatishe mawasiliano.
Nina sura kama fenesiMwanaume hasifiwi suraa!!!
hahaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahaaaNi mimi nimehamia huku lakini sio na hizo sifa!..🙂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Mimi ndo sijisumbui hata kidogo kwanza sitaki kabisa vurugu za maono!
Najua anakusingizia kweli hizo za nini sijui ni uzushi anataka kuharibu CV yako safi iliyotukukaNi mimi nimehamia huku lakini sio na hizo sifa!..🙂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Futa kwanza tatoo ya jina la Ex wako mkononi njoo tena!..
Kanisani kwetu wanaogopa sana watu kama nyie!.. Kuna mmoja alikuja tukamuombea na mitatuu yake akatuibia mtoto wa mchungaji!..
Sasa hivi binti ana michoro kama kitenge!.
hahahaa mwenzio kule Venezuela " wamemyangushia drone " wewe nitafute tuaisehh!!..
anayeuza radi za express aniPM nina shida nazo 3 za haraka!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanaume muamala tuu!!yaani Mimi kwanza ukiwa hensam sijui au na six pack walaaa hunioni wenye sura ngumu ndo nawapendaaNina sura kama fenesi
Unayapenda mafenesi wewe!?.
Me nakusifia Sura na Wowowowo
we nisifie vidole vyangu tu sawa!!..
labda kama iwe umemuomba JamiiForums akusaidie kuzifuta maana last time nakumbuka ulinionyesha zilikuwa zinasoma 5000kPM yangu haina txt hata moja mbona!.. hebu nitumie hata wewe dah!..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Inakera kama niniMambo!
Mzima wewe?
Niambie! 🙂