Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,599
mbona mimi wananijibu huko PM au kwasababu sina hizo tabia za kijinga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wachora mitatuu wokovu wao wa kwanza waungue na passi kufuta matatuu yao!. Wanatuibia sana waumini wetu!.[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Michoro kama kitenge!!nimecheka sana
ndo ukaamua muozesha mashariki ya mbali!?..dada yangu umempa mimba hata hamu nawewe hana
Niko bize na majukumu ya kuimarisha chama sitokuepo.
usiruhusu walete mbele, beba kapu wafate wana aibu sana na wavaa madera sijui kwanini!.. watatoa hadi nauli zao!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiruhusu walete mbele, beba kapu wafate wana aibu sana na wavaa madera sijui kwanini!.. watatoa hadi nauli zao!
ushachelewa nimeituma kwingine!!..Hii hapa nkutumie!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha, mwambie asijari nikirudi tu ,nawakaribisha paleNa mie niseme shukrani mkuu. Dada anaulizia ile kitu ya kontena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunakuombea upate uje tupate na sisi.Hahaha, mwambie asijari nikirudi tu ,nawakaribisha pale
[emoji120] [emoji120] [emoji120] ,inshalaah ,tuko pamojaTunakuombea upate uje tupate na sisi.
Ila nimekumiss sana wewe bintiSasa mtu anikute nshavurugwa aniletee hizo niambie zake lazima akatishe mawasiliano.
Aah unanimiss vipi sasa wakati hunitaki.Ila nimekumiss sana wewe binti
Nani kasema sikutaki?Aah unanimiss vipi sasa wakati hunitaki.
@Inna kaniambia nijitoe tu ushapata mwingine hunitaki tenaNani kasema sikutaki?
Mimi nakutaka muda wote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeuaa..Ila jamani mambo mengine ni aibu! Hivi unajisikiaje mwanaume mtu mzima kusutwa na wanawake?
Najaribu tu kufikiria jitu zima hilo hovyo huko liliko linajisikiaje?
Kama tujuavyo na kusikia wanaume wengi wa JF ni watu wazima,hivyo basi kama wana watoto huenda nao wakawa humu JF...
Hivi itakuwaje siku mdada mwenye ‘hasira kali’ akiweka hadharani picha ya wa kuitwa ‘mzee wa mbuzi’?
Aibu iliyoje jamani kuona baba yako anachambwa kwenye mitandao na wanawake kwa umbea?
Sawa... huenda umevutiwa na mdada humu ukaona umtokee,kwanini usikomae na sound za kiume badala yake unakomalia umbea wa namjua huyu na huyu wa JF?
Umbea kwa wanaume haunogi jamani! Badilikeni!