Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

usiruhusu walete mbele, beba kapu wafate wana aibu sana na wavaa madera sijui kwanini!.. watatoa hadi nauli zao!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kufunga pm, ni kuwadanganya wanaume wasiojielewa kuwa hudangi.
Navyojua, hapa unaweza ukawa na ID lukuki, na ukisha gawa namba, unazua kufunga pm.
Mfano mimi nina ID tatu, moja ni hii, moja natumia jukwaa la dini, (kule ni mtakatifu kabisa), nyingine natumia jukwaa la wakubwa.
Ivo, siwezi zuzuka, na demu aliyefunga pm, wengi wao ni wale wa badoo.
 
Ila jamani mambo mengine ni aibu! Hivi unajisikiaje mwanaume mtu mzima kusutwa na wanawake?
Najaribu tu kufikiria jitu zima hilo hovyo huko liliko linajisikiaje?

Kama tujuavyo na kusikia wanaume wengi wa JF ni watu wazima,hivyo basi kama wana watoto huenda nao wakawa humu JF...
Hivi itakuwaje siku mdada mwenye ‘hasira kali’ akiweka hadharani picha ya wa kuitwa ‘mzee wa mbuzi’?

Aibu iliyoje jamani kuona baba yako anachambwa kwenye mitandao na wanawake kwa umbea?

Sawa... huenda umevutiwa na mdada humu ukaona umtokee,kwanini usikomae na sound za kiume badala yake unakomalia umbea wa namjua huyu na huyu wa JF?

Umbea kwa wanaume haunogi jamani! Badilikeni!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeuaa..
Nakaziaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…