Agent atakuja kukudhulumu, utanitumia namba yako niingize direct!.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mmhhh!!!siku ukipata tumaa
ile drone acha kabisa", wanajeshi wote wametoka mbio kama NGO'mbe watokaPo ziziniSema hii drone nimeielewa sana. Nchi za kiafrica inaweza tumia hiyo kufukuza kina Kabila sio lazima mtutu.
hahAaa "", eti niambie"!! daaahBila shaka umemwambia mtu nambie huko PM mmbo yakaharibika!..
Karibu tena uwani!.
hahaaa basi usimuite aisee""samahani kalaba ulitaka sema lile neno jingine!?.. unatafuta ugomvi?.. nimuite?.
aiseee ignore list yanini tena" ina maana zile namba za wema sepetu ulizoniomba hauzihitaji tena nimpatie CastrNina hasira na wewe!.. sijui nikuweke Ignore list!..
Baiskeli yangu utoe lift wewe, sasa sms zangu utoe idadi wewe!.. Ngoja nipate mkodisha radi walaah.
kuna mtu kabebeshwa zigo " nilimwambia amtafute bwege yeyote ambaye alikuwa anamshobokea humu then amuuzie mechi baada ya hapo amwambie kuwa ana preg yake", basii kuna lijamaa limoja hivi limekubali etindo ukaamua muozesha mashariki ya mbali!?..
hahaAaa" wavaa maderA Mimi ruksa kabisa kunifilisiusiruhusu walete mbele, beba kapu wafate wana aibu sana na wavaa madera sijui kwanini!.. watatoa hadi nauli zao!
ona sasa!!... Hebu peleka sadaka kwa mama kanisa.hahaAaa" wavaa maderA Mimi ruksa kabisa kunifilisi
Anakulinda kwa kukusaidia usiibiwe kizembe!..[emoji23] [emoji23] Mungu anakuona kaash!
Mwambie ani PM nimpe Mimi, hahahaHahaaa!£
Acha usanii na wewe!usiwe km injinia uchwara bwana aliahidi atampa mtu elf 50 hajampa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ladie nitawashsuri hapa, huu ni mtandao na amin kuwa sis wanaume we are in different types , kuchat na mtu PM sio vbaya ila you have to be cautious , kuna kitu mnakiita RED FLAG, ukishaona hicho then unaweza kwepana na fedheha pia msitumetume picha zenu ovyo hujui umtumiaye ustaarabu wake ukoje, jitahidin kuwasoma wanaowafuata PM sio kukurupuka mkijua mmpeta kumbe mmepatikana, natumaini mkiwa careful hamtapata hizi adha, narudia huu ni mtandao na we members hasa wanaume tupo wa type nyingi , stay blessed