Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Hahaaa!£
Acha usanii na wewe!usiwe km injinia uchwara bwana aliahidi atampa mtu elf 50 hajampa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
aahh me sidanganyishi sipindishi muhimu usinifatirie napataje n' ujiamini pia!..
Pesa makaratasi tu!😉🙂
 
ivi Shunie hujamuonyesha kweli picha yangu Raynavero hahahaha
 
umepiga mule mule ila mwanaume ukijitambua raha sana izo mambo huwezi fanya kamwe
 
ivi Shunie hujamuonyesha kweli picha yangu Raynavero hahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] hata km nimeiona sijakuambia km nimeiona langu rohoni
 
Pm yangu umeiona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…