Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Mnalalamika sana humu majukwaani kua tunafunga PM au mkija hatuwajibu,ndiyo wengine wamefunga PM wengine mkija hatuwajibu kwa sababu kuu zifuatazo;

Kabla ya kutoa sababu mods huku ni chitchat bwanaa...!!punguzen ban jamani kaah!hapa stori tu no matusi tafadhali;

Haya naendelea;

Hatuwajibu kwa sababu tunaogopa huko PM mwahifadhi meseji zetu ili mje kutuchape Nazi baadae tukigombana ukiona hvyo twajifunza kulingana na makosa.Japo si wote lakini wenye tabia hizoo za hayo mambo.

Tunaogopa wengine mnakishawajua watu mnaanza kuonyeshana picha kwa wengine wa humu jf tena wauliza eti Fulani wamjua akijibu simjui anakuonyesha mapicha ya yule mtu kaahh!mambo gani ya kiswazi kunijua sio sababu ya kuonyesha picha zangu kwa watuu!not fair

Wengine sasa mna tabia mbaya mmekutana,mmekaa,mmekula,mmekunywa n.k baadae anaanza kuwataarifu wa humu jf Jana nlikutana na Fulani na Fulani bila kuulizwa kaah![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] !!!hebu nyie wanaume wenye hizo mambo punguzeni

Wengine mmekaa mmekutan mnaaanza kudiscass memba wa humu then baadae mmoja wenu anakuja kuwageuka anampigia simu mwenyewe kuumpa taarifa kua mlimuongelea!!
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hatari kabisaa

Kwa mambo hayo nani atake kufungua PM au kuwajibu kirahisi.
Naendelea wengine humu sijui ndo watafiti anataka kila mdada na mkaka maarufu wa jf amjue jamaniii!!!halafu je!? Ugraduate au Uqualify nini labda...Mungu anawaona...!!

Kwa hayo machache hapana wale niliobahatika kuchat nao PM ahsante sana nna msiobahtika hapana,naogopaaaaaaaa....kusemwa wengine tuna sura za baba!tupo tupo tu hatuna hata wowowo mtu kama behaviourist akituona lazima amtafute shunie ampe habari zangu kua I'm wowowoless!!!suraless basi tafrani hapa najibodoa kumbe msura wangu kwenye camera halijai kumbe najulikana humu najichoreshaa tuu!!

Nyie wanaume nyie haya bwanaa!!![emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Nasema hivi mkiendelea hivi Mtakosa wachuchu humu shauri zenu!!
Mimi sina hizo tabia, naomba nifulie basi PM yako
 
mimi jamani ni mvivu wa kujibu pm imagine lijitu linakuambia nimependa comment yako unaonekana mtamu jamani mimi mtamu nimekuwa asali?aisee sijibugi comment hata nachat na wachache sana wanaojielewa hasa akili kubwa wanaoweza nipa deal la maana au kuniongezea chakula cha ubongo.
Nkikujibu Pm nimekuheshimu,id naijua mlengo wake humu,au mimi nakufata kuna kitu umeandika nikashindwa kuandika jukwaani kwa sababu zangu hapo tutawasiliana na najua akili kubwa,hizo drama drama aaargh zinipite huko
Ndiwooo ndiwooo
 
Kuna watu wanapenda kutafuta "sifa" za kijinga ili na yeye aonekane mjanja mbele ya wenzake kwa kusema anamfahamu mtu fulani.

By the way kama yeye anapata sifa kwa ajili ya picha zako, basi wewe ni maarufu kumzidi yeye, mpotezee tu na kumwacha kama alivyo. Kwenye Jamii hii kuna watu wenye akili za kila namna.
Mambo ya kijinga kabisa. What happens in Vegas stays in Vegas. Sifa za kijinga. Halafu unakuta mtu mzima kabisa yani
 
Back
Top Bottom