Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Naachaje sasa mwenzangu nikajifanya mtoto wa mjini nimepata rafiki, kumbe mjini nlikuja na gari la kampeni mzee wa mbuzi akanishoo chats zote story zote yani hata nukta anascreenshot anatuma, story anazoongea na wadada humu yani hanisimulii anatuma screenshot
Mungu wanguuu!!!aiseehh!basi watujua sote humu etii!![emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseehh!!!hii kali eti!!
 
Kuna siku aliniomba picha ya papuchi, daaah yani leo papuchi yangu ingekua imesambaa humu Kama emoji
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari ya Munguu
 
Huyu kaka hapana jamani halafu hafananii ujue

Back
Top Bottom