Duuh. . . . Mzee wee hatariMtongozo randomly kama wale waliopiga risasi 30 kwa lisu wakapatia 5[emoji23][emoji23][emoji23]
Psalm 133:1[emoji768] "Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity."
Alafu madem wa JF muwe na misimamo... Yaani hela mnataka lakini kutongozwa hamtaki.
na tukiwaomba namba ya simu ili tuwatumie hizo hela mnazozitaka pia hamtupi... sasa tuwaeleweje?
Hebu kuweni na msimamo...
Wanatunanga saana aiseeh...
Hahahahaha wewe kama Mimi Ila kunakipindi nilikuwa naandaa nondo za kumtokea mtoto Smile.... Gafla bin vuuu akapotea kwenye neuz za jf...... Baada YA hapo nikasena labda Mungu kaniepusha ni kibutiDuuh. . . . Mzee wee hatari
Mimi na kukuzidi miaka humu ila sijawahi kutongoza wote hao
[emoji3][emoji3]Hahahahaha wewe kama Mimi Ila kunakipindi nilikuwa naandaa nondo za kumtokea mtoto Smile.... Gafla bin vuuu akapotea kwenye neuz za jf...... Baada YA hapo nikasena labda Mungu kaniepusha ni kibuti
anza huku unatoa huwezi kataliwaSasa Jirani si naanza mtongozo kwanza? Au inakuaje hapa
Sijawahi kuona wanawake wanaodeka kama hawa wa kwetu hapa.Mpaka sasa hawa mabinti wamegoma kuja kwenye huu uzi, maana yake wanaogopa kweli mitongozo au ni pozi tu
Me nikikutext tuu ujue hapo nishatenga kiasi cha fedha cha kutosha kugharamia hata show tatu mfululizona pesa utafute si mtongozo mkavu