Ha ha ha ha wewe si dada so kuwa mpoleWe tangu wiki ilopita nakuomba pesa na haunitumii[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Kwahiyo dada ndio anachomeshwa mahindi huh!!!Ha ha ha ha wewe si dada so kuwa mpole
We tuma hela bwana acha maneno mengi.Pesa kiasi gani mkuu, pesa ya kutuma si haina baraka kama ya kufungua wallet paaaah natoa natoa nikiona kama hujaridhika nakuongezea tena
Ntakuletea na Chumvi na Limao likishaiva ili ule vzur hilo HindiKwahiyo dada ndio anachomeshwa mahindi huh!!!
Ok basi pokea hiyo niliyotuma maana umeshindwa kuspecify kiasi unachohitajiWe tuma hela bwana acha maneno mengi.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Ntakuletea na Chumvi na Limao likishaiva ili ule vzur hilo Hindi
Ongeza mara mbili ya hicho ulichotuma bwana.Ok basi pokea hiyo niliyotuma maana umeshindwa kuspecify kiasi unachohitaji
Kuna uzi umepewa tuhuma kajibu kuleaisee si kweli
Umeona sasa mkuu? nakupigia nikupe code uje uchukue inayokutoshaOngeza mara mbili ya hicho ulichotuma bwana.
mkuu kaniite wapi huko?Kuna uzi umepewa tuhuma kajibu kule
Kuna interview moja umeitwa kidume interview ya richablaaamkuu kaniite wapi huko?
ha haha huko interview huwa sifuatiliagiKuna interview moja umeitwa kidume interview ya richablaaa
Siwezi kuja, niko mbali. We tuma tu.Umeona sasa mkuu? nakupigia nikupe code uje uchukue inayokutosha
Bora maana ni ajabuha haha huko interview huwa sifuatiliagi
Kweli umedhamiria kutongoza leo. Kila la heriUmeona sasa mkuu? nakupigia nikupe code uje uchukue inayokutosha
Ha ha ha ha basi litupe....[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Limeungua halifai kula.
OK, nakutumia usijali mkuu, huko mbali mimi naweza kufika nipe code nikufikie tafadhaliSiwezi kuja, niko mbali. We tuma tu.