Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] napita tu.Dada zetu tunashida wote humu ndani, tunataniana humu ndani sasa tusipowatongoza nyie tutamtongoza nani? Mnataka tushinde humu ila tutongoze FB na badoo? Nyie mtatongozwa na nani sasa si vizuri hivyo bwana, Mtukubalie.
Tunawapenda saana ndiyo maana. Mtu akikutongoza jua kakupenda eti na unapaswa kumkaribisha PM kwa mbwembwe zote.
Mnataka tuwape nini sisi zaidi ya mitongozo iliyotukuka(Gentamcyne)?na wewe uliyenambia haya walai sikuachi nitakuja na ID mpya tu.
"Wanaume wa JF ndivyo mlivyo" sio hivyo sisi tunajua kuwapenda ni woga wenu tu. Nyie tuacheni tuplay role yetu ya kuwa Seduce maana tushakuwa vipusa.
Tuzidi kumwombea Lisu.
Hicho kitu huwa kinanichekesha kweli yaani, mtu unakuta kajoin siku hiyo hiyo au jana yake na anakuja kwa kujiamini kweli!! Unawaza tu huyu ni Bonny kwa new id.Joined August 28 leo hii ana watu 10 kwenye list yake tayar 6 wameisha aisseee ananipa mashaka kidogo af atatuharbia aisee sie wazaman.
Hapana siyo mimi mkuu, nikibahatika kuonana na mwanaJF mwenzangu tena jinsia tofauti na yangu hiyo itabaki kuwa siri yetu wawili tuuMkituona mnatukimbia na kuja kutuanzishia nyuzi humu jinsi tulivyofanana na babu zao bibi zetu!!
Sijawahi tangu nijiunge humu, lazima kuna namna aisee!! Naishia kupata makaka tu[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Kwani hautongozwi wewe ?
Aisee..!!Mkituona mnatukimbia na kuja kutuanzishia nyuzi humu jinsi tulivyofanana na babu zao bibi zetu!!
Tuma kwanza mpesa bwana ndio hata chatings zinanoga, sasa msg 6 zote salamu!! You cant be serious.Sasa si tunachat chat kwanza hata niujue mwandiko wako kisha ndiyo mpesa?
Ha ha ha ha mie nakuja na ID yangu hv hv nikujie na ID mpya ili untoe kwenye reli mapemaaHicho kitu huwa kinanichekesha kweli yaani, mtu unakuta kajoin siku hiyo hiyo au jana yake na anakuja kwa kujiamini kweli!! Unawaza tu huyu ni Bonny kwa new id.
Kazi ipo kudadadekiDada anayetaka kutongozwa namimi muda huu, tena hapa hapa hadharani,Gonga like hapa nilianzishe
Espy please naomba namba yako ya simu?Hivi uniombe namba ili unitumie pesa nivunge!! Kabla haujamaliza kuomba nishatuma tayari.
Mmmmh!! Mnasemaga hivyo hivyo ila mwisho wake na chupi zetu tutazikuta humu. Hamna maana nyie.Hapana siyo mimi mkuu, nikibahatika kuonana na mwanaJF mwenzangu tena jinsia tofauti na yangu hiyo itabaki kuwa siri yetu wawili tuu
Mungu anawaona.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Acha basi mi nikutongoze au Bonny
duh.[emoji15] [emoji15] [emoji15]kifanyio ni kile kile tu
Daaaaaah me ukiniachia chupi yako espy nitaitunza mchagoni kwangu kamwe siileti hapaMmmmh!! Mnasemaga hivyo hivyo ila mwisho wake na chupi zetu tutazikuta humu. Hamna maana nyie.
Hamjuagi tu, ukija na id yako ilozoeleka hata inampa mtu nguvu angalau ya kukujibu. Hizo zingine unasoma tu unazifuta au unaendelea na mambo yako mengine.Ha ha ha ha mie nakuja na ID yangu hv hv nikujie na ID mpya ili untoe kwenye reli mapemaa
Nakutumia account number mkuu. Hebu fanya mambo kabisa.Espy please naomba namba yako ya simu?